Friday, May 13, 2016


Jerry Kato aliyedai kuzaa na mama Diamond.

STORI: Issa Mnally na Mussa Mateja, Ijumaa

Dar es Salaam: Kumekuwepo na usiri juu ya baba wa mdogo wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma Platnumz lakini huenda utata
ukafika mwisho baada ya aliyekuwa DJ maarufu jijini Dar kuibuka na kudai kuwa ndiye aliyemzaa mtoto huyo na mama Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ akimpinga na kuamua kumuweka wazi baba halali wa Esma.

0 comments:

Post a Comment