Tuesday, May 3, 2016

 
Picha zinazomuonesha Gigy Money wakati akimpiga mabusu Idris Sultan wakiwa katika show ya Pool Party iliyofanyika Ijumaa iliyopita katika hotel ya
Regency Park jijini Dar es salaam, zinawatoa povu mashabiki wa Wema Sepetu.

0 comments:

Post a Comment