Wednesday, May 25, 2016

Mtu akisafiri ili kuweza kuingia katika nchi nyingine, mara nyingi huhitajika kutoa Visa pamoja na hati ya kusafiria (Passport).
Lakini kuna baadhi ya nchi zinaweza kukuruhusu kuingia bila vitu hivyo ila zitakupa siku kadhaaa unazoweza kukaa nchini humo. Vilevile kuna nchi ambazo Watanzania wanahitaji passport tu kuingia.
Ifahamike kuwa,baadhi ya nchi hizi huruhusu mtu kuingia bila visa na kukaa hadi siku 90 ambazo utatakiwa uwe umepata visa yako au la utarudishwa kwenu. Zifuatazo ni nchi 73 ambazo Mtanzania anaweza kuingia bila visa.
  1. Antigua & Barbuda
  2. Albania
  3. Armenia
  4. Azerbaijan
  5. British virgins Island
  6. Barbados
  7. Bangladesh
  8. Botswana
  9. Burundi
  10. Bahamas
  11. Belize
  12. Bermuda
  13. Bolivia
  14. Cambodia
  15. Cayman Island
  16. Cape Verde
  17. Comoros
  18. Cook Islands
  19. Djibout
  20. Dominica
  21. Ethiopia
  22. Ecuador
  23. Egypt
  24. Fiji
  25. Grenada
  26. Guinea
  27. Georgia
  28. Haiti
  29. Hong Kong
  30. Jamaica
  31. Jordan
  32. Kenya
  33. Kosovo
  34. Laos
  35. Lebanon
  36. Libya
  37. Liberia
  38. Macau
  39. Malaysia
  40. Madagascar
  41. Maldives
  42. Malawi
  43. Mauritius
  44. Micronesia
  45. Mozambique
  46. Monserrat
  47. Mongolia
  48. Nauru
  49. Niue
  50. Nepal
  51. Namibia
  52. Nicaragua
  53. Palau
  54. Philipines
  55. Qatar
  56. Rwanda
  57. Samoa
  58. Suriname
  59. St. Kitts & Nevis
  60. St. Vincent & Grenadines
  61. St. Lucia
  62. Sierra Leone
  63. Singapore
  64. Swaziland
  65. Tuvalu
  66. Togo
  67. Turkmenistan
  68. Trinidad & Tobago
  69. Timor-Leste
  70. Uganda
  71. Vanuatu
  72. Zambia
  73. Zimbabwe

0 comments:

Post a Comment