Sunday, May 22, 2016

 Habari kubwa ni hii ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam, Wilson Kabwe kufariki. Wakati mwili wake ukitarajiwa kuzikwa Jumatano ijayo kijijini kwake Mpinji wilayani Same, Mtoto wa marehemu Geofrey Kabwe ametaja chanzo cha kifo chake kuwa ni saratani ya tezi dume na kuharibika kwa ini.

 Kilichomuua aliyekuwa Mkurugenzi Dar, Kabwe kimetajwa kuwa ni saratani ya tezi dume na kuharibika kwa ini
 Familia ya marehemu Wilson Kabwe imesema itasimamia mazishi na haihitaji ushiriki wa viongozi wa serikali

0 comments:

Post a Comment