Monday, May 30, 2016

 Tuongee na FACTS mambo mengine ni Common sense zaidi kuliko hata Elimu kwamba Mkuu wa Mkoa wa Dar Makonda anatoa wapi jeuri ya kutumia kodi za Wananchi kuikarabati Ofisi yake? ..ukisema ametumia hela za kodi maana yake ni lazima uwe ni mgawo wa Taifa kwa Wakuu wote wa Mikoa kukarabati Ofisi zao kitu ambacho hakijafanyika...so the FACTS are Makonda aliamua kutumia hela zake za mfukoni kukarabati Ofisi ambayo Wazungu wanaita "YOUR SECOND HOME" u nless kama ni Dhambi kwa Kiongozi wa Taifa kutumia Pesa za mfukoni mwake kukarabati Ofisi yake then Makonda ana makosa makubwa sana .....Makonda is my close friend na aliponionyesha kazi ya ukarabati lilikuwa swali la kwanza kumuuliza nani amelipia gharama? Akanihakikishia kwa ushahidi kwamba ni Pesa zake za mfukoni na infact kabla hajaanza ukarabati alikuja kuangalia makamilisho ya ukarabati wa Ofisi yangu kwanza ndio maana sikuwa na tatizo kurusha picha za makamilisho ya ukarabati wa Ofisi yake ......so Mnyonge Mnyongeni kama una tatizo na Makonda as a person mshambulie kwenye mambo binafsi with FACTS kama una tatizo na kazi zake mshambulie kwenye kazi zake with FACTS ila ni Dhambi kwa Mungu kuuaminisha Umma kwamba Makonda kutumia Pesa za kodi za Wananchi huku huna FACTS wala THE TRUTH halafu masikini ya Mungu Wabongo wapo wanashangilia kulishwa majungu bila hata kuulizia FACTS ....Mara ya mwisho nilipokutana na Mzee Kinana Mwezi Mmoja uliopita aliniambia "Tatizo la Vijana wa Tanzania ni wanapigana Vita wenyewe Vijana kwa vijana sio sisi Wazee" ...now kama Makonda angekuwa kweli ametumia Pesa za walipa kodi the idea ingekuwa kumuondoa na kumuweka Mzee ndio Vijana wangefurahi yaani kumkomoa Makonda kumbe in the process unawakomoa Vijana wote bila kujua.....ninasema tena Makonda hakutumia Pesa za Umma na hata Rais anajua hilo so hujamchongea kama ulidhani Rais hajui ....guys Uchaguzi ulishaisha sasa tufanyeni kazi haya majungu na umbeya ni kuvuruga theory ya Vijana kupewa Madaraka ya Taifa! ....Wananchi wa Tanzania please jifunzeni kuuliza FACTS kwanza! Tuwa Support kina Makonda ili Vijana wengine nao wapewe nafasi kuliko kuwavunja moyo! Makonda hakutumia MABILIONI ni MAJUNGU! - le Mutuz Nation

0 comments:

Post a Comment