Posted by Williammalecela.com on Monday, May 02, 2016
.....Mchezaji Bora Africa kwa Mwaka 2015/2016 Mbwana Samatta aliporudi kutoka Lagos alikopata ile tuzo Wazazi wake walimsubiri wakiwa kwenye benchi nje ya Uwanja wa Ndege tena kama sio huruma ya Wasamaria Wema wangemsubiri Shujaa wa Taifa wakiwa wamesimama nje....some of us tukapiga kelele weee kuwa Viongozi walirekebishe lisitokee tena ni kama kumpigia mbuzi Gitaa la gademu Solo ....Jana haka katoto 16 years
kalikohutubia Umoja wa Mataifa na Dunia nzima ikasimama kwa One minute kwa heshima ya Tanzania kamerudi hakuna Kiongozi wa Taifa hata Mmoja wa kukapokea wazazi walikaaa benchi lile lile kukapokea pale Nje....jamani hivi hili Taifa tulirogwa na nani? WHAT ARE OUR NATIONAL PRIORITIES? ..I thought Education is our National Priority?..I mean hiki ni Kipaji ambacho tulitakiwa kukipa our National Full Support Jana alitakiwa Waziri wa Elimu awepo pale kumpokea huyu Shujaa sasa ngoja utasikia anasoma South Africa na ataishia kufanya kazi huko huko na habari yake kwisha yaani huyu MUNGU HEBU ATUONEE HURUMA AMRUDISHE MGANGA ALIYETUROGA maana sio siri alikufwa kwenye ile Ndege iliyopotea ya Air Malasyia! NI LINI TUTAACHANA NA HIZI AIBU ZA TAIFA? au kwa sababu masikini katoto kanasoma our Mbagala likes schools? Je angekuwa anasoma Tanganyika International School ingekuwa hivi kweli? - le Mutuz Nation
0 comments:
Post a Comment