Thursday, May 19, 2016

k2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Dkt Asha _Rose Migiro kabla ya Mazungumzo yao Ofisini kwake Ikulu Jijini Dar es Salaam Tarehe 19/05/2016

k1Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan akiwa kaitka Mazungumzo na  na Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Dkt  Asha_Rose Migiro alipokwenda Ofisini kweke  leo Ikulu jijini Dar es Salaam Tarehe 19/05/2016  
k3Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza  Dkt Asha_Rose Migiro leo Ikulu Dar es Salaam Tarehe 19/05/2016

0 comments:

Post a Comment