"Mimi
sio kichaa wala mimi sio dikteta inafika mahali inabidi ufunge macho
ufanye maamuzi kutokana na watendaji wa serikali wanavyoiharibu nchi,
Sadaka yangu kwa watanzania ni kuwatumikia vyema hata nikifika mbinguni
naweza kupewa kazi ya kuongoza malaika".....
Mh Rais John Pombe Magufuli.
0 comments:
Post a Comment