Posted by Williammalecela.com on Friday, May 06, 2016
Juzikati lilifanyika bonge la pati pale Regency Hotel, Mikocheni jijini
Dar lililokwenda kwa jina la Pool Party ambapo mbali na matukio
mengine, msanii
Gift Stanford ‘Gigy’ na mpenzi wa Wema Isaac Sepetu,
Idris Sultan walisababisha gumzo baada ya kugandana kisha baadaye
kudaiwa kuondoka pamoja.
0 comments:
Post a Comment