Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Selemani Jafo akiingia ndani ya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 25 Mei, 2016.
Mbunge wa Viti Maalum CCM , Mhe. Halima Bulembo akiwasili viwanja vya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao ndani ya bunge hilo leo 25 Mei, 2016.
Mbunge wa Bukoba Mjini CHADEMA , Mhe. Wilfred Lwakatare akiwasili viwanja vya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao ndani ya bunge hilo leo 25 Mei, 2016.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akiingia ndani ya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 25 Mei, 2016.
Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhe. Luhaga Mpina (kushoto) akiwa ameongozana na Wabunge wenzie wakielekea ndani ya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 25 Mei, 2016.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kushoto) akiwa ameongozana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki wakiwasili katika Viwanja vya Bunge leo Bungeni mjini Dodoma 25 mEI, 2016.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi (kushoto) akiwa ameongozana na Wabunge wenzie wakielekea ndani ya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 25 Mei, 2016.
PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA, MAELEZO, DODOMA.
0 comments:
Post a Comment