Posted by Williammalecela.com on Monday, May 09, 2016
Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini Mhe.Profesa Anna Tibaijuka na Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Thomas Kashilila wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma .
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini Mhe. Zitto Kabwe akichangia mjadala wa hoja ya hotuba ya bajeti ya Wizara ya Viwanda , Biashara na Uwekezaji leo mjini Dodoma.
Picha na MAELEZO-Dodoma.
0 comments:
Post a Comment