Ni Mei 13, 2016 ambapo Mshindi wa BBA 2014 & Mchekeshaji, Idris Sultan aliungana na wakali wa kuchekesha kwenye show iliyopewa jina la Funny Fellas ambayo ilifanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Dar es Salaam.
.
.
.Pichani ni Mchekeshaji Dogo Pepe
.
.Pichani ni Msanii wa Bongo Fleva, Barnaba akitoa burudani ya nguvu
.Navy Kenzo ni miongoni waliohudhuria show hiyo ya Stand Up Comedy iliyopewa jina la Funny Fellas
.Pichani ni Mchekeshaji Captain Khalid ambaye alikuwa mshehereshaji wa show hiyo
.Pichani ni Mshindi wa BBA 2014 & Mchekeshaji, Idri Sultan akitoa ucheshi wake kwa watu waliohudhuria kwenye show hiyo
.Pichani ni Mchekeshaji kutoka (254) Kenya, Chipukeezy akifanya yake
.
.Pichani ni Mchekeshaji kutoka (256) Uganda, Idring Salvador
.
.
.Pichani ni Mchekeshaji Captain Khalid
.Pichani:Mchekeshaji ambaye amekuwa akikubali sana hasa katika masherehe mbalimbali anaitwa Dogo Pepe
0 comments:
Post a Comment