![]() |
"Zoezi la utengenezaji wa madawati 10,000 katika Halmashauri ya Manispaa Dodoma. Jimbo la Dodoma lina upungufu wa madawati 11,000.Tunashirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya wadau mbalimbali kutatua changamoto hii na tunatarajia kuanzisha kampeni rasmi ya "MWANANCHI CHANGIA DAWATI"
Zaidi ya Vijana 200 mafundi seremala kutoka maeneo mbalimbali ya Jimbo
la Dodoma Mjini wamepata ajira kupitia zoezi hili la kutengeneza
madawati.
#DodomaMpya#" |
Thursday, May 26, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






0 comments:
Post a Comment