Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Akutana na kuzungumza na wenyeviti wa Vijiji, watendaji wa Vijiji na kata Halmashauri ya Kyela
Aidha amewataka kudhibiti magendo ya bidhaa zinazopitishwa kupitia njia za panya zipatazo 32. Kutodhibiti njia hizo serikali itakosa mapato lakini pia bidhaa zitakazoungizwa nchini bila kukaguliwa ni hatari kwa matumizi ya binadamu




0 comments:
Post a Comment