Mkurugenzi wa taasisi ya Basilla Mwanukuzi foundation na Miss Tanzania 1998 akipokea mwenge wakati wilaya ya Kinondoni ilipopokea mbio za mwenge wa uhuru pamoja na viongozi wa vyama na serikali na wananchi wa kinondoni kwenye uwanja wa shule Bunju jijini Dar es salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment