Saturday, May 14, 2016

 Mkuu wa mkoa wa mbeya atembelea kiwanda cha saruji Mbeya 
Ameipongeza Mbeya cement kwa kuongeza uzalishaji wa cement tangu kiwanda hicho kibinafisishwe na kulipa kodi shilingi bilioni 38 katika miaka mitano
Ameutaka uongozi kujipanga kukabiliana ushindaji wa wingi wa viwanda vya saruji ambao kwa njia moja utamsaidia mwananchi kupata bei nafuu hivyo watumie uzoefu na faida walioipata, ubunifu wa teknolojia, mkakati wa kimasoko wenye ya kupunguza makali ya bei ya saruji 
 

0 comments:

Post a Comment