Posted by Williammalecela.com on Sunday, May 01, 2016
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya aongoza maadhimisho ya siku ya wafanyakazi mkoani Mbeya
Amewataka wafanyakazi kufanya kazi kwa bidii na wafanye kazi bila hofu na amehaidi kuwa serikali haitomuonea mtumishi yeyote katika ufuatiliaji wa utendaji kazi na uadilifu kazini
Amehaidi kazifanya kazi changamoto za wafanyakazi ambazo zipo ndani ya uwezo wa serikali ya Mkoa
0 comments:
Post a Comment