Monday, May 2, 2016

 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya atembelea shirika la Umeme ( Tanesco) akagua kituo cha kupokelea Umeme, aongea na wateja kituo cha wateja na ameongea na wafanyakazi wa shirika hilo 
Ameagiza watumishi wa shirika hilo kutoa huduma kwa wateja kwa kiwango cha kuridhisha na amewataka kuacha mara moja urafiki na vishoka ambao wanaliharibia sifa shirika Hilo kwa kutapeli wateja

Amewataka wakandarasi waliopewa kazi ya kusambaza Umeme vijijini waongeze kasi na wamalize kazi hizo ifikapo 15 juni 2016 kama walivyoelekezwa na wizara ya Nishati na madini
Aidha amezitaka taasisi zote za serikali kulipa madeni ili kuliwezesha shirika Hilo kutekeleza majukumu yake vizuri  

0 comments:

Post a Comment