Wednesday, May 11, 2016

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makala atembelea uwanja wa zamani wa ndege mbeya . Ameagiza kusitisha mara moja uuzaji viwanja eneo la akiba la uwanja huo. Ameamua kusitisha uuzaji wa viwanja hivyo baada ya kubaini baadhi ya watalaam wa ardhi wana maslahi na wamepindisha taratibu makusudi ikiwemo kupima viwanja bila kuishirikisha mamalaka ya viwanja vya ndege .








0 comments:

Post a Comment