Monday, May 16, 2016

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makala akagua ujenzi wa barabara ya Mbeya - Chunya
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya amekagua Barabara ya mbeya chunya yenye urefu wa km 72 na ameridhishwa na ujenzi wa Barabara hiyo na mkakati wa serikali ni kuendelea na ujenzi wa Barabara kutoka chunya- makongorosi hadi Rungwa( manyoni)
Anekemea vikali tabia ya wananchi kungoa, kuharibu alama za barabarani na uharibifu wa barabara . Amewataka viongozi wa vijiji, watendaji wa vijiji na kata wilayani Chunya kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi na Tanroad kuwakamata watu wanaoharibu Barabara na kuharibu alama za barabarani




0 comments:

Post a Comment