Saturday, May 14, 2016







Faiza Ally

Msanii wa filamu, Faiza Ally anajipanga kufanya photoshoot akiwa na mwanae kwa ajili ya biashara yake mpya ya nguo za kuogelea.

Muigizaji huyo ambaye alikuwa nje ya nchi kwa ajali ya maandalizi ya biashara hiyo, kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika:
Can’t wait for photoshoot Jamani #soon ntawatambulisha page yangu ambayo itakua na swimming costume zetu mimi na sasha # model wakubwa nimepata#Bado nataka wadogo kuanzia wanao kaa chini wanao simama mpaka wenye miaka 12 #wa kike na wa kiume # Naomba Basi umatag mwenzio mwambie asinunue kungine anunue kwangu tu #quality nzuri bei nzuri # RAHA YA BEACH UPEPO KUJIFUNIKA INA HUU # wapenda beach wana elewa sana tu #kuogelea ni Afya na ni mazoezi mazuri sana usiogope kujiachia  njoo ununue chupi.

CHANZO na Bongo5.

0 comments:

Post a Comment