Friday, May 27, 2016

1427382910_kylie-jenner-zoom

STAA wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kylie Jenner amenunua mjengo mpya pande za Calabas, California wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 13.

Kylie ambaye pia ni mdogo wa mwanamitindo, Kim Kardashian amenunua mjengo huo kwa kuongezea pesa kutoka mjengo wa zamani aliokuwa akiishi uliokuwa na thamani ya shilingi bilioni tatu.
Mjengo huo ambao upo karibu na kwa mama yake, Kris na dada yake, Kim Kardashian una vyumba sita, bafu saba, eneo la kuogelea na vingine vingi.

0 comments:

Post a Comment