Thursday, May 19, 2016

Ni wiki mbili sasa toka msanii wa hiphop Kala Jeremiah apate mtoto na amekuwa mtu flani wa kuenjoy sana good tyme na mtoto wake, hii ni picha nyingine kutoka Instagram yake. Mtoto wake ni wa kiume anaitwa ALAMA.

kala j 2

0 comments:

Post a Comment