Monday, May 16, 2016


Bongo fleva super staa Nedy Music ambaye hivi karibuni amejiunga na lebel ya Ommy Dimopz ya Pozi Kwa Poz amekanusha uvumi kuwa Shilole ni Mpenzi wake.

..Akihojiwa Clouds FM amesema hana uhisiano wa Kimapenzi na Shilole



Awali Nedy alitajwa akuwa mpenzi wa Shilole baada ya staa huyu kuachana na Nuh Mziwanda.

0 comments:

Post a Comment