Hali
inazidi kuwa hali! Yapo madai kwamba, familia, kwa maana ya ndugu, ya
nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ wamemshauri msanii huyo
kufanya kipimo tena cha vinasaba (DNA) kwa mtoto wake, Latiffah ‘Tiffah’
aliyezaa na Zarina Hassan ‘Zari’, Amani limenyetishiwa.
0 comments:
Post a Comment