Friday, May 20, 2016

gigy na nay3
DAR ES SALAAM: Ndani ya muda mfupi wa ustaa wake ambao hauna hata nusu mwaka, muuza nyago (video queen) ambaye pia ni msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amegeuka habari baada ya kudaiwa kuwa
mtungo au msururu wake wa wanaume mastaa, unatishia kuvunja rekodi ya ule wa Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ambaye kwa sasa anaonekana atakuwa cha mtoto.

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

0 comments:

Post a Comment