Waombolezaji wakiwa kanisani kuaga mwili wa Drew, ndugu na jamaa wa Dar
Tanzania walipata nafasi ya Ibada ya misa kwa ajili ya Drew ndani ya
kanisa la kilutheri Ubungo baada ya ibada ya misa mwili ulisafirishwa
kwenda Kizota, Dodoma kwa mazishi yatakayo fanyika kesho Alhamis saa
tisa mchana kwenye makaburi ya Hajra Chinangali.
Ndugu na marafiki wa Dar-Es-Salaam wakiwa kanisani kuaga mwili wa Drew , kwa picha zaidi nenda soma zaidi.

























0 comments:
Post a Comment