Posted by Williammalecela.com on Tuesday, May 10, 2016
 |
| Waziri Mpya wa Afya Mh. Ummy Mwalimu inasemekena ndiye Mbebezz mukarezzz kuliko wote waliowahi kushika nafazi za Uwaziri toka tupate Uhuru, Ummy ni Mwanasheria msomi aliyebobea na ni Mbunge wa Viti Maalum CCM Mkoa wa Tanga na ni mke wa mtu pia mama watoto U know. SALUTE!! |
0 comments:
Post a Comment