Sunday, May 15, 2016

Nyumba ya mama yake Sheikh Walidi Alhadi imamu wa msikiti wa Kichangani yateketea kwa Moto jioni hii Nyumba hiyo ipo Mtaa wa Uwazani Magomeni Mapipa nyuma ya Bondeni Hotel.. Muungwana Blog inatoa pole kwa Familia ya Sheikh Walid Aihadi..

0 comments:

Post a Comment