Wednesday, May 18, 2016



Winga mshambuliaji wa Azam FC na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Farid Musa leo Mei 1 2016 ametimiza siku ya tano katika majaribio yake ya soka la kulipwa Ulaya Club Deportive Tenerife Hispania,
Tenerife  wanaripotiwa kumkubali Farid kiasi hata cha kufanyiwa vipimo vya afya na mitandao mingi ya Tanzania inaripoti kuwa Farid tayari kakubaliwa na klabu hiyo na wanataka kumsajili kwa mkopo wa miaka miwili.
IMG-20160501-WA0029
IMG-20160501-WA0030
Farid akiwa na Yusuf Bakhresa
IMG-20160501-WA0031
IMG-20160501-WA0032
IMG-20160501-WA0020
IMG-20160501-WA0021
IMG-20160501-WA0022
IMG-20160501-WA0023
IMG-20160501-WA0025

0 comments:

Post a Comment