Rapa Kanye West na Mke wake Kim K wametumia vizuri fursa ya kula bata Cuba baada ya nchi hio kumaliza tofauti zao na Marekani.
Kanye West alikuwa kwneye mitaa ya Cuba na mke wake Kim K na mtoto wao wa kwanza North West huko Harvana, Cuba.
Kim K alikuwa Cuba kwaajili ya kuhudhuria onyesho la mitindo la Chanel Cruise collection.
Pata Stori Kirahisi Zaidi,FahamuTv.Com Ipo Instagram>INSTAGRAM
0 comments:
Post a Comment