Siku kadhaa zilizopita daraja la Nyerere ‘Kigamboni’ lilizinduliwa na kuanza kutumika na wakazi wa jiji la Dar es salaam.
Leo May 10 2016 Rais mstaafu wa Serikali ya awamu ya nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya ziara kwenye daraja hilo akiongozana na Mama Salma Kikwete.

.

.

.

.

.

.
0 comments:
Post a Comment