Friday, May 20, 2016

MIR1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Uingereza Mhe,Dkt.Asha Rose Migiro alipofika Ikulu Mjini Zanzibar asubuhi ya leo
,[Picha na Ikulu.]
MIR2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Uingereza  Mhe,Dkt.Asha Rose Migiro alipofika Ikulu Mjini Zanzibar asubuhi ya leo,[Picha na Ikulu.]

0 comments:

Post a Comment