Thursday, May 12, 2016

May 12 2016 kundi maarufu la muziki kutoka Afrika Kusini Mafikizolo pamoja na staa wa bongofleva Diamond Platnumz walipata mwaliko wa kuingia Bungeni Dodoma ambapo wakali hawa wapo Dodoma kwa ajili ya kuidondosha burudani Chuo kikuu Dodoma.




Tazama Video Hapa:



Ilibidi kujikausha na kueka sura ya userious ili furaha isiwazidi tukaja haribu Hali ya hewa ikawafujo tukapelekwa Polisi bure kwa kusababisha Zogo Bungeni.... too Much Love thanks alot Our People .... Shukran sana Mh Waziri Nape Nauye kwa Mualiko huu #ColorsOfAfrica #Vodacom4G #VodacomOngeaDeilee

0 comments:

Post a Comment