Wednesday, May 11, 2016

13188038_439200079621629_221010926_n
13188038_439200079621629_221010926_n
Wema Sepetu hana kinga ya ukweli huo na ndio maana kwenye clip iliyowekwa Instagram,
anaonekana akibusu na muigizaji mchanga, Koko Byanko utadhani kweli ni wapenzi.
Haijulikani filamu hiyo inaitwaje japo Koko amekuwa akiandika ‘Shabiusi’ bila kueleza kama ndio jina lake. Jionee mwenyewe video hiyo.

0 comments:

Post a Comment