
MUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ anadaiwa kupangiwa nyumba na kigogo mmoja serikalini (jina kapuni) maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar.Chanzo makini kimenyetisha kuwa, Nisha amehama maeneo ya Kijitonyama alipokuwa
anaishi awali baada ya kigogo huyo kuhitaji usiri zaidi kwani Kijitonyama alishindwa kuwa anamtembelea mara kwa mara kufuatia nyumba aliyokuwa anaishi kuzungukwa na ‘waswahili.’
Chanzo: GPL
0 comments:
Post a Comment