STAA
wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa baada ya mtoto wake,
Cookie kutimiza mwaka, sasa anafanya mpango kutafuta njia ya kupata
watoto mapacha ili atulie.
Akizungumza na Amani Aunt
ambaye amezaa na dansa wa staa wa Bongo Fleva, Diamond, Moze Iyobo
alisema kuwa, anamshukuru Mungu kumpa
mtoto ambaye amemfungulia njia
lakini kwa sasa anatamani mapacha ili awe na jumla ya watoto watatu
kisha ndiyo apumzike aendelee na mambo mengine.
“Baada
ya Cookie kunifungulia jina la kuwa mama sasa nataka niongeze uzao
mmoja wa pacha ili niwe na watatu kisha nitapumzika,” alisema Aunt.
0 comments:
Post a Comment