Posted by Williammalecela.com on Friday, May 20, 2016
.
Tuzo hizo zitatolewa mwishoni mwa mwezi Juni nchini Marekani.

Mwananmuziki Diamond Platnumz ametajwa kwa mara ya pili kuwania tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act: Africa.
Wakali wengine wanaowania tuzo hiyo ni pamoja na Wizkid, Yemi, AKA na wengineo
0 comments:
Post a Comment