Wednesday, May 18, 2016

Uhusiano wao umepitia misukosuko mingi ikiwemo kuachana mara kadhaa lakini Idris Sultan na Wema Sepetu hawajalikatia tamaa pendo lao.
Ni muda mrefu tangu Idris aandike kitu kwenye mitandao ya kijamii kuhusu penzi lake na Wema
baada ya kudai wameamua kuuweka uhusiano wao private kwa sasa. Lakini sasa mshindi huyo wa Big Brother Africa ameshare ujumbe mahsusi kwa mpenzi wake huyo.

0 comments:

Post a Comment