Ama
kweli penzi ni kikohozi, kulificha huwezi. Baada ya usiri mzito
kutawala, hatimaye imebainika kuwa The Big Boss wa Wasafi Classic Baby
(WCB), Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ndiye ‘aliyeinjinia’ penzi jipya
mjini la muigizaji Jacqueline Wolper na kijana anayekuja kwa kasi kwenye
Bongo Fleva, Rajabu Abdulhan ‘Harmonize’.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment