
Stori: Andrew Carlos, Ijumaa
Dar
es Salaam: Exclusive! Lejendari wa Bongo Fleva kwa zaidi ya miaka kumi
na tano, Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee au Jide’, anatarajia
kumuanika mrithi wa aliyekuwa mumewe, Mtangazaji wa Kituo cha Radio
CloudsFM, Gardner G. Habash ndani ya saa 24, Ijumaa lina data kamili.
Kwa
mujibu wa habari za kuaminika zilizothibitishwa na uongozi wa staa
huyo, Jide atamtambulisha mchumba wake huyo kwa mara ya kwanza ndani ya
Ukumbi wa Mlimani City leo, Dar ambapo pia atafanya shoo ya saa tatu
mfululizo, inayokwenda kwa jina la Naamka Tena.
0 comments:
Post a Comment