Siku za hivi karibuni kumetokea mabifu mengi sana ya wasanii wetu wa
kike hapa Bongo. Mabifu makubwa ambayo yamemake headline sana ni ya ya
Shilole na Vanessa Mdee na upande wa pili ni Lulu na video queen Giggy
Money.Giggy Money siku za karibuni amekua akitofautiana na wasanii wengi na kwa sasa kaamua kulinukisha na kuanzisha bifu na Lulu. Giggy amekua akijitamba kua anamzidi maisha mazuri Lulu hasa katika upande wamavazi na kuvaa matambala ili aongeze tako.
Katika kauli moja Giggy lisikika akisema kua Lulu ni bingwa wa kuvaa nguo za matangazo. Baada ya Lulu kutuhumiwa hayo aliamua kufunguka kwa ufupi na kujibu tuhuma hizo.
Unaweza mskiliza kwa kutazama video yake hapa chini.
0 comments:
Post a Comment