Monday, May 2, 2016



Maswali yalikua ni mengi na mashabiki walitaka kufahamu kwanini mwigizaji Lulu kutoka kwenye kiwanda cha filamu Tanzania hakumpost kwenye Instagram kama ishara ya kuonyesha ulimwengu
kwamba anamkumbuka Marehemu Steven Kanumba na vilevile hakuhudhuria kwenye kaburi la Kanumba kama walivyofanya wengine.

0 comments:

Post a Comment