Mwanamuziki Barnabas leo ameweka HISTORIA Tanga alizopiga kwenye UKUMBI wa Tanga City Lounge waahabiki 500 walijitokeza KUMUONA Msanii HUYU Maarufu ikiwa ni HISTORIA kwa Mkoa wa Tanga mashabiki wengi kujitokeza hivyo. Pia show hiyo ilihudhuriwa na Le Mutuz Nation aliyefuatana na Barnabas KWENYE onyesho hilo Tanga.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
















0 comments:
Post a Comment