Kufuatia
kuvuja kwa picha za chumba alicholala na kumtia aibu kutokana na
mazingira aliyoyaacha, staa wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu ‘Madam’
ameibuka na kuamua kuchukua hatua ya kuushtaki mahakamani uongozi wa
Hoteli ya Golden Crest, iliyopo jijini Mwanza.
0 comments:
Post a Comment