Posted by Williammalecela.com on Wednesday, May 04, 2016
Muigizaji
mwenye wingi wa matukio Bongo, Wema Sepetu ‘Madame’ amekiri kufanyiziwa
na vijana wa kihuni hivi karibuni, baada ya kutembezewa kichapo
kisha
kuporwa simu na fedha zilizokuwemo ndani ya gari lake, maeneo ya Mbezi
Africana.
0 comments:
Post a Comment