Zarinah Hassan ‘Zari’
DAR
ES SALAAM: Inadaiwa ilitokea lakini haikuandikwa! Kuna habari kuwa, ile
safari ya familia ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond
Platnumz’ kula bata kwenye nchi za Ulaya, ilikuwa na mambo mengi lakini
kubwa ni madai ya kuwepo kwa mtifuano kati ya mama Diamond, Sanura Kasim
na Zarinah Hassan ‘Zari’ ambaye ni mzazi mwenzake, Diamond.
Kwa
mujibu wa chanzo, mtifuano kati ya Zari na mkwewe huyo ulitokea baada
ya siku moja mkwe huyo kuteleza kwenye ngazi za umeme wakiwa wanapanda,
Zari akamuwahi kwa kumshika mkono hali iliyomtibua mama huyo.
0 comments:
Post a Comment