Sunday, May 15, 2016

Elephant-Man
Miss Tanzania mwaka 2001 na mwanamitindo wa kimataifa Millen Magese ametupia picha kwenye akaunti yake ya Instagram ambazo zimeonekana kuwadatisha njemba wengi.

Millen kwa sasa yupo kwenye kampeni kubwa ya kutafuta tiba ya ugonjwa wa Endometriosis unaomsumbua kwa miaka 13 mpaka sasa lakini haujamzuia kuonesha urembo wake.
160504102420_instagram_512x288_bbc_nocredit
Mwanamitindo huyo ambaye anafanya kazi zake nchini Afrika Kusini kwa sasa yupo nchini Tanzania kwa ajili ya mapumziko na shughuli zake binafsi amepost picha kwenye Instagram na kuandika: Tuwe na utamaduni wa kupenda vya kwetu na kusifia vya kwetu . Na kutangaza vya kwetu……Tanzania is beautiful ….. Tutembelee vya kwetu . #SmallVacayInTanzania🇹🇿HyattHotel . Next……Wish to go to Serengeti and Saadani #TakingTimeOff.”
Tazama picha zaidi:
33C6F7BE00000578-3570857-Ranieri_holds_a_blue_boot_with_the_words_Champions_2015_16_on_it-a-41_1462268693651
10422134_812063695567669_5972704573303766519_n
Tambwe-Ngoma-1-e1443282353514

CHANZO na Bongo5.

0 comments:

Post a Comment