Posted by Williammalecela.com on Wednesday, May 11, 2016
 |
| Le Mutuz Nation leo alipo onyesha Ofisi yake mpya baada ya kazi kubwa ya kuikarabati iliyochukua Miezi 2, sasa imepanuliwa na kuwa kubwa na ya kisasa zaidi ofisi hiyo ambayo ni Makao Makuu ya Kampuni ya Blogu ya Wananchi Media Company Limited ipo Jengo la Tancot House Gorofa ya Pili mtaa wa Sokoine Drive downtown Dar. |
big up sana bro nimependa iyo
ReplyDelete