Posted by Williammalecela.com on Friday, May 20, 2016
Le Mutuz Nation last night with American Super Star Singer Neyo, at Hyatt Kempisk Hotel Bongo. Neyo amekuja kwa mualiko wa Jembe Ni Jembe kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania na atafanya Show moja Mjini Mwanza kesho katika uwanja wa Kirumba Stadium at JEMBE FESTIVAL akiwa na Diamond Platnumz live!!
0 comments:
Post a Comment